Habari Mpya :
Home » » FASTJET WAANZISHA SAFARI YA KIMATAIFA TOKA DAR ES SALAAM KWENDA JOHANNESBURG

FASTJET WAANZISHA SAFARI YA KIMATAIFA TOKA DAR ES SALAAM KWENDA JOHANNESBURG

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, August 4, 2013 | 5:43 AM

Fastjet passenger revenue up over previous month

Kampuni ya ndege ya Fastjet apo mauzi imeanzisha safari ya ndege yao itakayofanya roote ya kimataifa toka Dar es salaam Tanzania kuelekea Johannesburg afrika ya kusini.Akizungumza mkurugenzi na mwenyekiti wa kampuni iyo bwana Ed Winter amesema lengo kubwa haswa ni kupanua soko lao na pia kupata kufahamika kimataifa.Mbali na kuanzisha safari iyo pia ameeleza kwamba garama za nauli kwa roote zitakuwa ni pungufu kulingana na upinzani kwa dhumuni la kupata abilia wengi zaid watakaopanda ndege yao kutoka Dar kwenda Johannesburg.Amesema punguzo litakuwa ni USD$100 ukiondoa kodi ivyo wakiamini kwamba watapata abilia wendi zaid na wanaamini safari iiyo iitafanikiwa kama walivyofanikiwa kwa safari ndaani ya Tanzania ambapo wao kama Fastjet ndo wenye gharama nafuu kuliko kampuni zote za ndege nchini Tanzania.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania