Hii ni kutoka kampuni ya watengenezaji wa simu za brand na system ya blackberry dunian kwa ushirikiano wa makampuni yote yanayotengeneza simu zenye system za andoid na iphone kwamba ile huduma ya BBM amabayo apo mwanzo ilikuwa ni kwa ajili wa watumiaji wa simu zenye system za blackberry tuu kuanzia tarehe 21 mwezi huu wa tisa huduma iyo itakuwa ni kwa wote yani watumiaji wa blackberry,android na iphone.Hii ikiwa ni moja ya ukuwaji wa technologia ya mawasiliano dunian watu watakuwa na uwezo wa kuwasiliana kupitia mtandao huo maarufu wa BBM ambapo apo mwanzo ulikuwa ni kwa watumiaji wa blackberry tuu..
No comments:
Post a Comment