Habari Mpya :
Home » » HATIMAE AGGNESS NA MELISA WAACHIWA HURU KWA DHAMANA

HATIMAE AGGNESS NA MELISA WAACHIWA HURU KWA DHAMANA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, September 20, 2013 | 10:13 AM

Mwanadada maarufu nchin Tanzania Aggness Gerald maarufu kama Aggnesa masogange Na mwenzie Melisa hatimae wameachiwa huru kwa dhamana leo baada ya kuwekwa chini ya ulinzi kwa takriban miezi mitatu iliyopita uko nchin afrika ya kusin.Aggness na mwenzie Melisa walikamatwa na dawa za kulevya na kuwekwa chini ulinzi uku upelelezi wa kesi ukiendelea ambapo mpaka leo walipopata dhamana japo imedaiwa wamelazimishwa kubaki nchin apo mpaka siku watakapoitajika ten mahakaman.Aggness kulidhibitisha ilo leo katika ukurasa wale wa instagram amepost ujumbe tofauti na kutaka kuamin kama ni kweli yuko huru angalia katika picha alichonijibuu katika comment zake za instagram.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania