Habari Mpya :
Home » » KUTOKA WESTGATE KENYA WATU 62 WAMEUWAWA MPAKA SASA.

KUTOKA WESTGATE KENYA WATU 62 WAMEUWAWA MPAKA SASA.

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, September 23, 2013 | 7:58 AM

Tangu tukio la utekaji nyala limetokea apo jana nchin kenya katika jengo la biashara la westgate ambalo limetekwa na wateka nyaLa ambao inasemekana ni mgambo wa Alsha Babu toka somalia mpaka sasa imetangazwa na vyombo nya habari toka nchin kenya kwamba idadi ya watu waliokufa mpaka sasa ni 62 na pia imeelezwa kwamba wateka nyala wawili pia wameuwawa na wengi kujereuliwa vibaya sana na wanajeshi wa jeshi la kenya ambao ndo wanafanya kila mbinu kutafuta njia ya kuwakamata majesusi hao na kuwaokoa mateka zaid ya 1000 katika jengo ilo ambao wametekwa tangu jana.Imeelezwa sababu ya utekaji huo ni kuishinikiza nchi ya kenya Kuondoa majeshi yao nchin somalia.AlshaBabu katika mtandao wao wamethibitisha kuhusika na tukio ilo la utekaji wa jengo la biashara la WestGate.Picha chin: ni hali ilivyokuwa jana na leo nje na ndani mwa jengo ilo la westgate.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania