Mrembo wa kifaransa ambae amewahi igiza katika filamu iliyohusu maswala ya utekwaji ni mmoja wa watu waliuwawa kenya katika shambulio la Utekwaji wa jengo la biashara la westgate siku nne zilizopita nchini kenya.Anne Dechauffour 27 na mama yake mzazi mwenye umri 54 waliuwawa katika shambulio ilo la kigaidi.Anne alienda kenya kumsalimia mama yake Mwigizaji ambae aliolewa miaka 10 iliyopita nchin kenya.Pia yasemekana baba yake mzee Michael inasemekana ndo mmiliki wa Hotel ya kifahali ya Rock leopard logde iliyopo katika hifadhi ya Mt Meru.


No comments:
Post a Comment