Video ya cheza bila kukunja goti ambayo ni sound track ya nyimbo iliyofanywa na wasanii AY,FA na kumshirikisha mkali toka nigeria ambae pia na muandaaji wa mziki J'martins imepitishwa kama video yenye ubora na itaanza kuchezwa na vituo ivyo vya kimataifa ambavyo ucheza video zenye ubora na kiwango cha kimataifa tuu.'FA amelithibitisha ilo kwa kusema ni kweli video iyo imepitishwa na itaanza kuonyeshwa katika Trace,Channel 0 na MTVBase..


No comments:
Post a Comment