Club maarufu mkoan singida Sky Way night club leo imeadhimisha mwaka moja tangu kufunguliwa kwake apo kwaka jana.Maadhimisho hayo yamefanyika katika ufukwe wa bwawa la singidani na kuhudhuliwa na watu wengi sana.Michezo mbalimbali ni moja kati ya sehemu ya sherehe iyo ambapo kulikuwa na shindano la PoolTable na mshindi kapata Caton ya Bia na pia shindano la kunywa Bia mfurulizo ambapo mshindi kashinda Tshirt ya TBl.Sherehe izo pia zimedhaminiwa na kampuni ya bia ya Tbl.
SKY WAY NIGHT CLUB SINGIDA YATIMIZA MWAKA MMOJA KWA MBWEMBWE
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, September 14, 2013 | 9:37 AM
Labels:
SPORTS
No comments:
Post a Comment