habaari toka dodoma zimeeleza kwamba mbunge wa jimbo la singida mashariki Mh Tundu lisu ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili kuhusu ushindi alioupata katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ya kwamba hakushinda kihalali.Kesi iyo iliyochukua taswira mpya katiika jukwaa la siasa na kuleta utata mkubwa atimae jana shitaka la kukata rufaa limefutwaa na mahakama ya rufaa ya kanda ya Dodoma.Upande wa ulalamikaji ukiendeshwa na ADVOCATE wasonga uliamua kufanya maamuzi ya kupeleka madai ya rufaa katiika mahakama ya rufaa ya dodoma baada ya kutolidhishwa na maamuzi ya mahakama kuu ambayo yakionekana kumpendelea mbunge TUNDU LISU.
LISU ASHINDA KESI NA KULITETEA JIMBO LAKE LA SINGIDA MASHARIKI
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, September 14, 2013 | 2:26 PM
habaari toka dodoma zimeeleza kwamba mbunge wa jimbo la singida mashariki Mh Tundu lisu ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili kuhusu ushindi alioupata katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ya kwamba hakushinda kihalali.Kesi iyo iliyochukua taswira mpya katiika jukwaa la siasa na kuleta utata mkubwa atimae jana shitaka la kukata rufaa limefutwaa na mahakama ya rufaa ya kanda ya Dodoma.Upande wa ulalamikaji ukiendeshwa na ADVOCATE wasonga uliamua kufanya maamuzi ya kupeleka madai ya rufaa katiika mahakama ya rufaa ya dodoma baada ya kutolidhishwa na maamuzi ya mahakama kuu ambayo yakionekana kumpendelea mbunge TUNDU LISU.
No comments:
Post a Comment