Msanii wa kimataifa toka tanzania Naseeb maarufu kama Diamond Platnumz leo tarehe 02/10/2013 majira ya saa 6:02 usiku amepost picha zake mbili katika ukurasa wa #Instagram moja akisema #happyBirthday Naseeb na nyingine akiwa ameandika A star is born uku akiuliza Guess Wat??.Kama zinavyoonekana apo chini.Nahodhaafricana tunakutakiwa miaka mingi mingine Diamond platnumz.
No comments:
Post a Comment