Habari Mpya :
Home » » HII NDO HISTORIA YA KIMAPENZI YA RAPPA KANYE WEST MPAKA SASA

HII NDO HISTORIA YA KIMAPENZI YA RAPPA KANYE WEST MPAKA SASA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, October 1, 2013 | 2:20 PM

Kanye west Rappa tajiri na mwenye uwezo mkubwa katika tasnia ya muzik wa HipHop nchin marekan na dunian ametajwa kuwa rappa miongoni mwa watu maarufu dunian wenye historia ya kuwa na mahusiano na wanawake wengi maarufu mbali na mkewe wawa sasa kuwa maarufu pia Kim Kardashian lakin wapenzi wake waliopita pia wote ni miongoni mwa watu maarufu dunian mfano UmbeR Roze na wengineo kibao kama wanavyoonekana katika picha apo chini.Rappa kanye west anaeshika nafasi ya sita dunian kwa record za Forbes wasanii wa hiphop matajiri dunian amekamata chat ya juu kwa kuwa na mahusiano na wadada maarufu dunian..

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania