Hivi ndo ilivyokuwa jana katika viwanja vya leaders ambapo mbali na burudani ya wasanii wengii wa ndani ya nchi na wale wa nje ya nchi kamati ya serengeti fiesta ilitoa fursa kwa wajasilia mali kutoa huduma ya vyakula kwa wadau watakao udhuria tamasha ilo.
No comments:
Post a Comment