Hili ndo jukwaa la kimataifa lililotengenezwa jijin Dar es salaam katika viwanja vya leaders club kwa ajili ya Tamasha la sererengeti fiesta msimu huu wa 2013 ambapo kwa mujibu wa mwenyekiti wa zoezi ilo sebastian maganga amesema wameamua kufanya ivyo ikiwa ni ishara ya kukua kwa tamasha ilo ambalo mwaka huu limetimiza miaka 12 tangu limeanza.
No comments:
Post a Comment