Baada ya tamko la serikali kuhusu wafanya biashara kutokwepa kodi na kuwalazimisha kutumia mashine za electronic za EFD kwa ajili ya kulipa kodi zao kwa upande wa mbeya swala ilo limechukua sura mpya na mbaya baada ya wafanya biashara kupinga vikali tamko ilo na kusema lazima serikali iangalie aina ya mfanyabiashara anayetakiwa kutumia mashine izo.Wafanyabiashara hao wamesikika wakisema kwamba sio virahisi mfanya biashara ambae mtaji wake ni 400,000 akanunua mashine ya TRA ambayo bei yake ni 800,000 na kuendelea.Katika picha ni vurugu za mabomu na mataili kuchomwa moto uku askari wakifanya juhudi kubwa kutuliza na kwawatawanya watu wenye hasira kali.
No comments:
Post a Comment