Embraer ndege ya abilia yadondoka muda mchache baada ya kuruka toka uwanja wa kimataifa wa lagos nchin Nigeria.Imeelezwa ndege ilikuwa na abilia wasiopungua 27 na kwamba abilia watato wamepoteza maisha baada ya kudondoka kwa ndege iyo.Msemaji wa wizara ya uchukuzi nchin Nigeria amesema taarifa za chanzo cha ajali iyo ni kwamba ndege iyo haikuondoka vizuri kutoka uwanjani apo na kwamba iyo ndo yaweza ikawa ndo sababu iliyoifanya kurudi chini na kupata hajali iyo ambayo imeghalimu maisha ya watu watano.Imeelezwa kwamba ndege ilikuwa imeandikwa Embraer EMB-110 na kwamba Nembo ya Embraer ni nembo ya kampuni ya watengeza ndege ya Brazir.Mili ya maiti tano imepatikana na wajeruhi wamepelekwa hospital kwa matibabu.Katika Picha watu na vyombo vya usalama wakijitahidi kuokoa watu waliokwama katika vyuma..
No comments:
Post a Comment