Habari Mpya :
Home » » HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA WASANI TOKA NJE WATAKAOFANYA SHOW KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADER's

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA WASANI TOKA NJE WATAKAOFANYA SHOW KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADER's

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, October 26, 2013 | 1:56 AM

Katika picha tofauti ni DAVIDO akiwa na mkali toka tanzania DIAMOND PLATNUM toka nigeria msanii ambae anatarajiwa kutoa show kali katika tamasha la fiesta na mwingine ni IYANYA toka Niger katika picha apo chini pia ni mkoja kati ya wale wanaotarajiwa kutoa show kali pia wakiwepo wengine kibao kama J'martins toka nigeria,Alaine toka Jamaica na Mohambi toka swiden.Tamasha la fiesta ni tamasha kubwa linalofanyika kila mwaka na kupelekwa mikoa yote ya tanzania na mwisho wake uwa ni Dar es salaama ambapo leo tarehe 26/10/2013 ndo mwisho wa tamasha ilo.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania