Habari Mpya :
Home » , » DIAMOND KUFANYA REMIX YA MY NUMBER ONE NA MSANII DAVIDO TOKA NIGERIA

DIAMOND KUFANYA REMIX YA MY NUMBER ONE NA MSANII DAVIDO TOKA NIGERIA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, October 27, 2013 | 2:12 AM

Msanii maarufu nchini tanzania Naseeb au diamond amefunguka katika ukurasa wake wa instagram kuhusu kufanya remix ya wimbo wake unaotamba kwa sasa wa My number one akiwa na msanii toka nigeria Davido.Katika picha ni msanii diamond na davido wakiwa studio kwa ajili ya remix iyo ambapo diamond kaeleza video itafanyika leo.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania