Habari Mpya :
Home » , » MSANII CPWAA ATAMBULISHA NYIMBO ZAKE MBILI MPYAA

MSANII CPWAA ATAMBULISHA NYIMBO ZAKE MBILI MPYAA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, October 1, 2013 | 1:46 PM

Mkali wa Cruk afrika ya masharika CP au Cpwaa na msanii wa miondokoo ya Hip hop na bongoflava Tanzania leo amefunguka rasmi exclusive leo katika cloudsE ya clouds Tv kwamba muda si mrefu ataachia nyimbo zake mbili mpya ya kwanza ni (Chelekocheleko) yenye maadhi ya kitanzania na nyingine ambayo amedai kushirikiana wakali toka Nigeria na southafrika itakayojulikana kwa jina la (Across the border).
Kuongezea Cpwaa ameongezea kwa kusema video za nyimbo izo zote zitaonyeshwa na kuchezwaa katika station zote za ndani na nje.






Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania