Habari Mpya :
Home » » CHRISTIAN RONALDO AWANYOOSHA SWIDEN 1:0

CHRISTIAN RONALDO AWANYOOSHA SWIDEN 1:0

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, November 16, 2013 | 1:24 AM

Ni michuano ya kuwania tiket ya kufuzu kombe la dunia chini brazil apo jana kwa upande wa bara la ulaya Ureno imeshinda 1:0 dhidi ya swiden mchezaz hatari dunian katika kabumbu christian Ronaldo akiibuka kidedea baada ya kuipatia team yake ya ureno goal moja.Katika
picha chini Ronaldo akishangilia goal.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania