Hatimae mwili wa marehemu Dr Sendongo Mvungi umeingia leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere toka afrika ya kusini ambako ndiko mauti yalipomkuta akiwa hospitalin kutokana na majeraha aliyesababishiwa na watu waliomfanyia ambushi akiwa kwake.Dr Sendengo Mvungi aliashambuliwa na watu wasiojulikana mwanzo mwa week hii na watu hao walisemekana walitumwa kufanya ilo tukio na kumjeruhi vibaya sana ambapo alilazimika kupelekwaa Afrika ya kusin kupata matibabu kabla ya mauti kumkuta akiwa hospitalin.
No comments:
Post a Comment