Habari Mpya :
Home » , , » CMB PREZZO AAMUA KUONYESHA BUNDUKI YAKE YA DHAHABU YA AK47

CMB PREZZO AAMUA KUONYESHA BUNDUKI YAKE YA DHAHABU YA AK47

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, November 27, 2013 | 3:28 AM

Mwana muziki toka kenya hapa karibuni kasema yeye uwa ajibizani na maadui zake kwa maneno bali vitendo na ufanya kuwajibu kupitia picha anazopost mala kwa mala katika ukurasa wake wa instagram #Rapcellecy.
Prezzo the CMB prezident ameamua kuwajibu wale wote waliosema kafulia akiwemo mpinzani wake Huddah na Mdada ashley ambao wamekuwa wakisema kafulia hana kitu kwa kuonyesha Bunduki yake ya AK47 ikiwa imepakwa madini ya dhahabu.Prezzo akuachia hapo bali alionyesha saa yake,chain yake pamoja na Pete yakr zote za dhahabu na kumaliza kwamba kama namiliki chopper mtasubili sana kuona nafulia.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania