kuna Matangazo yanaendelea Kuwa eti
Tareh 07/12/2013 nna show mnjini Brussels Belgium... taarifa
hizo ni zauongo, SIZAKWELI!!!... Sina Mkataba wala Makubaliano
 na yoyote ya kuwa na Show huko tareh hiyo... Hivyo my Luvly
Fans toka Brussels na nchi za jirani msije kuhudhuria maana
Sintokuwepo......!
 
 
No comments:
Post a Comment