1:Baada ya rais wa wasafi kushikana mkono na rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete
2:Diamond akihutubia katika mkutano wa fursa mbele ya rais Jakaya Kikwete
3:Diamond alipoudhuria harusi ya Peter wa Psquare uko Nigeria na kukutana na watu tofauti maarufu afrika.
4:Alipokutana na Mchezaji wa mpira maarufu dunian Adibayo
5:Alipokutana na Director wa Video ya Alingo pamoja na Personality ya psquare.
6:Alipopata nafasi ya kufanya remix ya My number 1 na msanii Davido to Nigeria.


No comments:
Post a Comment