Habari Mpya :
Home » , » KENYA WAFUNGUA MRADI WA RELI UTAKAOUNGANISHA SUDAN,BURUNDI NA JAMUHURI YA CONGO

KENYA WAFUNGUA MRADI WA RELI UTAKAOUNGANISHA SUDAN,BURUNDI NA JAMUHURI YA CONGO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, November 29, 2013 | 2:23 AM

Kenya wamefungua mladi wa reli unaosimamiwa na watu wa China ambao imeelezwa kuunganisha nchi za Sudan ya Kusin,burundi pamoja na Jamuhuri ya Congo.Mradi huo ambao utaghalimu zais ya $5.2Bn zote Ikiwa ni msaada wa serikali ya china.Hawamu ya kwanza ya reli iyo itasaidia kupunguza umbali wa safari kati ya Mombasa na Nairobi ambapo hawali ilikuwa masaa 15 ila itakuwa masaa manne tuu.Pia Reli iyo itakuwa ndo ya kwanza kwa ukubwa tangu Kenya ipate uhuru wake miaka 50 iliyopita.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania