Peter Okoye na Paul Okoye ni mapacha wanaotengeneza kundi la Psquare ambalo ni kundi linalofanya vizuri katika tasnia ya muziki barani Afrika na dunian.Peter Ambae ivyi karibun ameamua kufunga ndoa ya kimira na mama wa watoto wake wawili wa kiume Lola Omotayo ivyi karibun tarehe 17 november 2013.Wengi walitegemea kwa kuwa mapacha hawa hufanya kila kitu pamoja basi wangefunga wote ndoa na wanawake zao ila cha kushangaza Peter kaoa na kumuacha Paul bado.Baada ya kuulizwa Paul OKoye kwa nini yeye hajamuoa mama wa mwanae Anita Isima?amejibu kwamba Kama isingekuwa tofauti ya makabila ya wake zao basi yeye na Ndugu yake wangefunga ndoa pamoja.Amesema Anita ni Igbo na Lola ni Yoruba ambapo kwa upande wa kabila la Anita na mira zao Ndoa ya kimira inatakiwa ikafanyikie kwa mwanamke..Kwaiyo iyo ndo sababu kubwa ila isingekuwa ivyo tungefunga wote Ndoa ya pamojabya kimira.Alisema Paul.
 

 
  

No comments:
Post a Comment