Ni shindano la kumtafuta Mrembo atayeshika taji la mrembo bora toka katika vyuo vinavyopatikana hapa mkoan singida.Shindano linatarajiwa kufanyika leo ukumbi wa Aqua Vitae kuanzia majira ya saa mbili usiku ambapo burudani inatarajiwa kutolewa na yule mfalme wa mahaba Kassimu Mganga.Shindano hili kinafanyika kwa udhamin mkubwa wa kampuni ya bia ya Tanzania TBL chini ya kinywaji chao Red's.


No comments:
Post a Comment