Toka oman mvua kubwa zinazoendelea kunyesha tangu jana zimekuwa Tishio kwa maisha ya wananchi wa Miji mbali mbali ya nchi ya Oman.Katika picha tuliweza kuipata toka oman inaonyesha hali halisi watu wanavyoteseka kwa sasa baada ya miundo mbinu mfano barabara kufunikwa na maji yaliyojaa mji mzima.Hasara za mvua iyoo ni kwamba hakuna shughuli yeyotee ya uchumi inayofanyika kwa sasa.
No comments:
Post a Comment