Toka Indonesia imeripotiwaa kwamba Toka juzi Volcano imelipuka kwa kiwango kikubwa na kwa urefu wa kufikia katika mawinguu na kusababisha mchafuko wa hali ya hewaa wa gas chafu Hewan.Volcano Sumatra imeelezwa kwamba imeathiri makazi ya watu waliokaribu na mlima huo wa volcano baada ya kulipuka na kuatarisha maisha ya wananchi hao.Serikali imetoa tamko la hatari kuhusu mlipuko huo na kuwataka wananchi walio maeneo ya mlima huo watolewee na kupelekwa katika Camp za serikali kwa hifadhi ya muda.Watu wameanza kuhama tangu jana usiku kuokoa maisha yao.


No comments:
Post a Comment