Toka marekan kampuni ya mtandao wa Yahoo ivyi karibun imetoa tamko kwa kila mfanyakazi kutumia barua pepe ya kampuni katika mawasiliano.Katika kulisisitizia ilo mkuu wa idara ya mawasiliano ameandika tamko jipya la kutaka wafanyakazi wote kutumia barua pepe ya kampuni ya Yahoo Mail na kuacha katumizi ya Microsoft Outlook.Imeelezwa Robo tatu ya wafanyakazi tuu ndo wameitikia tamko ilo lakin 75 bado hawajafanya ivyo mpaka sasa.AKizidi.kueleza kasema''kwa kanuni na sheria za kampuni ni lazima kila mfanyakazi kutumia bidhaa za kampuni na kuzipa kipaumbele.


No comments:
Post a Comment