KibongoBongo ni hali ya kawaida sana kwa wasanii wakubwa kama alivyo Steve kuwachezea au kutembea na kila aina ya msichana ila kwa Steve kwake imekuwa tofauti baada ya kufanya maamuzi ya hisia zake za kweli kwa msichana wake na kumvisha pete ya uchumba tayari kabisa kwa maamdalizi ya kumuoa.Tunaisubili ndoa..
 

 
  

No comments:
Post a Comment