Waziri Mkuu bwana peter mizengo pinda ametoa amri ya ujenzi wa maktaba katika wilaya zote tanzania kwa dhamira kwamba watanzania wajenge utamaduni wa kusoma na kupata maarifa zaid.
Kiongozi huyu mkuu wa serikali amatoa agizo ilo weekend hii alipoudhulia maafari ya wahitimu wa shule ya maktaba uko Bagamoyo uku wahitimu hao wakikabidhiwa shahada zao.Waziri mkuu ametoa agizo ilo kwa viongozi wote wa wilaya zote tanzania kufuatia upungufu wa maktaba zaid 13000 uku tanzania nzimq ikiwa na maktaba 600 ambapo zingine zikiwa za serikali na zingine katika secta binafsi.
No comments:
Post a Comment