Habari Mpya :
Home » , , » MALEMA AMUITA RAIS ZUMA MWIZI NA ANC NI WABAGUZI WA RANGI

MALEMA AMUITA RAIS ZUMA MWIZI NA ANC NI WABAGUZI WA RANGI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, November 18, 2013 | 5:50 AM

Toka johanesburg afrika ya kusini kiongozi wa EFF julius malema ameriportiwa kumuita zuma mwizi na chama chake ANC ni wabaguzi wa rangi baada ya chama icho kumfungilia mashtaka kamatika mahakama kuu ya limpopo kwa shutuma kwamba amewahi kuiba pesa katika kitengo chake alichokuwa akifanya kazi cha barabara na ajira.Malema katika kupingana na madai ayo ya ANC amesema yeye sio mwizi na wala hajatoka familia ya wizi na pia hajawahi kufanya kazi katika kitengo cha barabara na ajira ivyo madai ya ANC ju yake niuzushi na kutaka kumchafulia jina lake zaid amesema Rais jacob zuma ndo mwizi na chama chake ANC ni wabaguzi wa rangi.Malema akiendelea kujisafisha amekaririwa akiwambia wananchi mimi sio mwizi siwezi kuibia nchi yangu na sintoweza kuibia watu wangu na wala sikutoka katika familia ya wezi pia nashukuru kwa wote mnaoniunga mkono na mliokuja mahakaman kuniunga mkono.Baada ya kesi yake kusikilizwaa hakuna ushahidi uliopatikana juu ya madai ya ANC dhidi ya malema..

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania