Rappa maarufu dunian THE GAME ni moja kati ya watu ambao ukimkagua mwili wake huwezi kuta sehemu iliyowazi ni kwasababu moja tu mwili mzima kauchora tatoo tofauti.Apo Juzi ikiwa dunia inatoa heshima za mwisho kwa Hayati Nelson Mandela aliyefariki dunia mnamo tarehe 5 december 2013 yeye ameamua kutoa heshima zake kwa kuchora tatoo ya Mandela mgongoni.Mbali na Tatoo iyo ya mandela THE GAME anatatoo za watu wengi mashuhuri na ambao kwake amesema ni watu muhimu sana mfano Tatoo ya sura ya Rais Obama shingoni kwake na zingine vyingi.
 

 
  
  
  
  

No comments:
Post a Comment