Kampuni ya chapa ya Vodacom inayocheza draw ya promoshen ya shinda bodaboda na pesa tasrimu kwa mkoa wa vodacom singida leo wamemkabidhi mshindi aliyeshinda bodaboda kwa mkoa wa singida.Akikabidhi zawadi iyo ya bodaboda kwa mshindi uyo ni meneja mauzo Mkoa na muwakilishi wa kampuni ya chapa ya vodacom kwa mkoa wa singida Ayubu Kalufya.


No comments:
Post a Comment