Muigizaji maarufu wa cinema na mkali wa mfurulizo wa cinema za Fast & Fulious PAUL WALKER apo jana kapa ajali ya gari akiwa na mwenzake uko Los Angels na kupoteza maisha apoapo.Imeelezwa paul walker mwenye miaka 40 alikuwa katika gari moja na mwendeshaji magari ya mashindano zaman Rogermwenye miaka 38.Sababu kubwa ya ajali iyo ikiwa ni spidi kali ya gari iyo ambapo Roger alishindwa kuibalance na kumshinda kisha gari kugonga mti mkubwa na kufanya gari kupinda na kusabasha moto mkali katika ilo gari mpaka waokoaji wanafika eneo la tukio Paul na mwenzake walikuwa wameishapoteza maisha.
R.I.P PAUL WALKER
Picha chini ni marafiki wawili waliokufa pamoja katika iyo ajali ya gari Paul walker na Roger Rodas



No comments:
Post a Comment