Habari Mpya :
Home » , , » WANANCHI WA AFRIKA YA KUSINI WAIPOKEA VIZURI CINEMA MPYA INAYOMUHUSU MANDELA(THE LONG WALK TO FREEDOM)

WANANCHI WA AFRIKA YA KUSINI WAIPOKEA VIZURI CINEMA MPYA INAYOMUHUSU MANDELA(THE LONG WALK TO FREEDOM)

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, December 1, 2013 | 9:36 AM

Wananchi wa afrika ya kusini wamejitokeza kwa wingi katika kumbi za cinema kwa ajili ya kuangalia cinema inayomuhusu baba wao wa taifa Nelson Mandela.Cinema iyo inajulikana kama THE LONG WALK TO FREEDOM ikiwa imeigizwa na muigizaji maarufu dunian toka Uingereza Idrisa Elba.Kitu kikubwa kilichowapa hamasa na na furaha kubwa wananchi hao ni ustadi wa Msanii uyoo akivyoweza kuigizq sauti ya mandela na wengine kufikia hatua ya kusema Idrisa ni kabila la Xhosa na wengine kusema idrisa katoka kabila la mandela kwa namna akivyoigiza sauti kama ya mandela japo sio asilimia zote ila kajitahidi sana.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania