Diamond platnums kama anavyojiita au Naseeb Abdul jina lake halisi week hii ameamua kuwatembelea watoto waishio katika mazingira Jijin Dar es salaam na moja kati ya zawadi alizawapa ni pamoja na kuwaonyesha Video yake mpya ya wimbo wake wa Number One Remix alioufanya na msanii wa kimataifa toka Nigeria 'Davodo".Diamond amesema kama hawamu ya kwanza ya wimbo huo aliizindua kwa watu special basi remix ya wimbo huo wa Number One ameamua kuzingua Video yake kwa watoto ambao kwao ni vigumu kuona show za wasanii na kwamba watoto ndo mashabiki wakubwa japo hawapati nafasi za kuudhulia matamasha na kuonana na sisi..Video ya wimbo huo ambayo director wake ni bingwa Nigeria na Africa nzima Clarence Peters inasubiliwa kwa hamu kubwa na mshabiki wa Diamond.
Home »
Events
,
News
,
Videos
» DIAMOND ATAMBULISHA VIDEO YA 'NUMBER ONE REMIX"KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.
DIAMOND ATAMBULISHA VIDEO YA 'NUMBER ONE REMIX"KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, December 24, 2013 | 6:55 AM
Akizungumza katika Blog yake ya this is Diamond platnumz kasema haya
"Kama nilivyotangilia kusema apo awali,hawa watoto ndo mashabiki wetu wakubwa na kwa sababu hawapati nafasi ya kuudhulia matamasha au kuonana na sisi.Apo awali nilitambulisha video ya number 1 version ya kwanza kwa watu special na sasa nimeamua Video ya Number 1 remix niliyofanya na Davido kuitambulisha rasmi kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu.Bila kusahau tarehe 25 Dec nitafanya Tamasha kwa ajiri ya watoto pale viwanja vya Leader club na usiku siku iyoiyo tutakuwa mwanza,Get ready,,.


No comments:
Post a Comment