Source:Bongo5
Mr blue afunguka na kusema toka amekuwa baba wa mtoto sameer na kutambua jukumu lake kama baba maisha yake yamebadilika sana na sasa haishi tena kama zamani."Ki ukweli masha yangu yamebadilika sana"alifunguka blue wakati akihojiwa na mtandao wa Bongo5.Mr blue aka Hitmaker aka kabayser akiongeza pia kasema majukumu yake yake hayajabadilika sana ni yale yale sema kwa sasa amejiweka karibu sana na familia yake na kwamba sasa juhudi zimeongezeka kuakikisha Familia inakaa poa.
PICHA:Mr blue na mwanae Sameer
:Wahyda na mwanae Sameer
:Wahyda mchumba wa Blue katika Poz
Mr blue pia akuishia apo ila pia ameeleza kwamba kwa sasa anamalizia mjengo wake na anatarajia kuhamia katika nyumba yake ifikipo tarehe 1 january 2014.


No comments:
Post a Comment