Habari Mpya :
Home » , , » HAPA NDO KIJIJINI QUNU NA SEHEMU YA MAKABURI YA FAMILIA YA MANDELA UTAKAPOZIKWA MWILI WAKE KESHO

HAPA NDO KIJIJINI QUNU NA SEHEMU YA MAKABURI YA FAMILIA YA MANDELA UTAKAPOZIKWA MWILI WAKE KESHO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, December 14, 2013 | 7:56 AM

Hapa ndo kijijin kwa aliyekuwa Rais wa zamani na wa kwanza mweusi Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela aliyefariki tarehe 5 December 2013.Mwili wa kiongozi uyo shupavu aliyetumia muda wa maisha yake kutetea haki za mtu mweusi na kupinga vikali Ubaguzi wa Rangi uliokuwa ukitendwa na mkolon Miaka ya Nyuma na kumfanya Mzee nelson Mandela kufungwa gerezan kwa kipindi cha Miaka 27 na kisha kulikomboa Taifa ilo la Afrika ya Kasin unatarajiwa kuzikwa kesho kijijin kwake Qunu karibu kabisa na Makaburi ya watoto wake Watatu.Wananchi na watu mbalimbali Dunian wamejitokeza kuelekea Qunu kwa ajiri ya kuupumzisha mwili wa Mzee Nelson Mandela apo keshi tarehe 15 december 2013.

PICHA:KIJIJI CHA QUNU
:NYUMBAN KWA MANDELA
:MAKABURI YA WATOTO WAKE
"AFRIKA NA DUNIA TUNAMUOMBEA MAPUMZIKO MEMA MZEE WETU NELSON MANDELA"
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania