Hatimae leo Tarehe 15 december 2103 Afrika na dunia imewekwa historia baada ya mwili wa mzee Nelson Mandela kupumzishwa kwa aman katika nyumba yake ya milele nje kidogo ya Nyumba yake aliyojenga Qunu na sehemu ambapo ni pemben kidogo karibu na makaburi ya watoto wake watatu.Safari ya mazishi ya mandela yamechukua zaid ya siku kumi tangu alipofariki mnamo Tarehe 5 december 2013.Salama za mwisho zimetolewa na waalikwa zaid ya 4,000 ambao ndo walikuwa wagen rasmi katika nyumba iliyoandaliwa rasmi kwa ajiri ya kumuaga mzee mandela,mbali na hao wanakijiji ambao kwao mandela ni mmoja wa familia kwao pia wamejitokeza kwa wingi katika kushuhudia tukio la kumuaga na kumzika mzee wao mkombozi wao kupitia TV kubwa iliyowekwa mbali kidogo na sehemu ulipokuwa unaagwa mwili wa Mzee mandela.Katika rambirambi izo pia Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania alipata fursa ya kuzungumzia wasifa wa mzee mandela kipindi cha ukombozi na mahusiano mazuri yaliyojengwa kati ya Tanzania na afrika ya kusini kupitia mzee Mandela na Hayati Mwl.Nyerere.
MANDELA AZIKWA KWA HESHIMA KUBWA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, December 15, 2013 | 5:59 AM
:Jeneza likipelekwa sehemu husika
:Wananchi wakifatilia tukio zima Kupitia TV
:Msururu wa watu kuelekea katika Kaburi
:Helikopta za kijeshi zikipeperusha Bendera
:Ndege za jeshi zikitoa heshima za mwisho
:Mizinga ikipigwa kama ishara ya heshima
:Mwili ukiombea kabl ya kuzikwa.



No comments:
Post a Comment