Apollo theatre la jijin London apo jana limeripotiwa kubomoka gafla na kusababisha majeruhi zaid ya 80.Police na vyombo mbali mbali vya uokoaji vimefanya kazi ya kubwa na kuweza kuokoa watu.Jengo ilo lenye uwezo wa kujaza zaid ya watu 700 lilipo katikati ya jiji la London limedondoka gafla..
No comments:
Post a Comment