Hatimae kiungo na mshambuliaji wa club ya liverpool yenye makazi yake Liverpool uingereza luis Suarez ameibuka mshindi ya wa tuzo ya WILLIAM HILL FOOTBALL SUPPOTER FEDERATION kaa mchezaji bora wa Ligi ya uingereza na kuwachua waasimu wake kama Robin Van Persie na wengine kibao.Luis Suarez akiwa ni mchezaji aliyepigiwa kura na zaid ya mashabiki 500,000 na kumfanya kuwa mshindi wa Tuzo iyo kubwa ya mchezaji bora wa ligi iyo.



No comments:
Post a Comment