Mlipuko mkubwa wa bomu lilikuwa limetegwa katika gari umetokea uko Cairo misiri mapema jumanne ya leo 24/13 katika makao makuu ya polisi ya mji wa Nile Delta kaskazin mwa jjin la Cairo.Bomu ilo limeua watu 12 na kuumiza zaid ya 100 na kusababisha ualibifu wa nyumba nyingi.
serikali iliyopo madarakani kwa sasa imelishutuma na kulihusisha na jaribio ilo la kigaidi kundi la Muslim BrotherHood lakini kwa upande wa Muslim Brotherhood limekanusha shutuma izo.
 

 

No comments:
Post a Comment