Zikiwa zimebaki simu chache kabla ya promosheni kabambe toka vodacom ya shinda pesa Tasrimu au Bodaboda kumalizika leo tena kakabidhiwa mshindi mwingine wa Bodaboda mkoan Singida.Akimkabidhi mshindi uyo zawadi yake ni bwana Ayubu Kalufya meneja wa vodacom mkoan singida.
No comments:
Post a Comment