Maji yakiwa ni sehemu kubwa ya uhali wa mwanadamu na ni kiungo muhimu katika mahitaji ya binadam ya kila siku.Tanzania kama nchi kubwa na iliyojaaliwa vyanzo vingi vya maji lakin bado swala la maji limekuwa tatizo kubwa kwa baadhi ya maeneo ndani ya nchi.Kwa upande wa mkoan wa dar es salaam japo na kuzungukwa na bahari kubwa lakin wakazi wa kimara mkoani apo wameendelea kupata Tabu kubwa ya maji.Kama Picha inavyoonyesha chini wasichana wakijaribu kusukumana ili waweze kukinga maji na kuwahi nyumbani.Uhaba wa mabomba ni tatizo kubwa katika makazi ayo ya kimara.


No comments:
Post a Comment