Epiq Bongo star search(EBSS)ni kipindi cha television kinachodhaminiwa na kampuni ya nchin Tanzania ya Zantel na shindano linaloibua vipaji vya muziki nchin Tanzania.Baada ya mzunguko mzima mrefu wa kuwania Kitita cha shilling za Kitanzania Million 50 hatimae mshiriki Emmanuel Msuya akiweza kuibuka mshindi wa shindano ilo na kuchukua kitita icho cha Million 50.
PICHA ZA TUKIO LA FINALI ZA EPIQ BSS 2013
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, December 10, 2013 | 6:29 AM
Labels:
Events,
News,
TVSHOW/INTERVIEW


No comments:
Post a Comment