Habari Mpya :
Home » , , » PICHA ZA IRAKOZE HOPE MSHINDI WA SHINDANO LA TUSKER PROJECT FAME

PICHA ZA IRAKOZE HOPE MSHINDI WA SHINDANO LA TUSKER PROJECT FAME

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, December 10, 2013 | 3:27 AM

Irakoze Hope Toka Burundi ndo mshindi wa tusker project Fame season 6.Tusker project fame likiwa ndo shindano pekee afrika mashariki linaunganisha vipaji vya afrika mashariki na mshindi kuibuka na utajiri mkubwa ivyo majuzi baada ya vijana waliokuwa wakishindana kwa zaid ya mie Mitatu hatimae Irakoze Hope toka Burundi aliibuka kidedea wa kitita cha Ksh Million Tano.Irakoze Hope kaweka historia ya Burundi katika Ramani ya music afrika mashariki.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania