KOMLA DUMOR mtangazaji wa Radio na tv wa BBC katika Tv alikuwa akiongoza kipindi cha Focus Of Africa amefariki gafla kwake jijin london kwa matatizo ya moyo.Komla ambae ni mwana habari toka Ghana amefariki akiwa na umri wa miaka 41.Mwandishi uyo wa habari aliyekujikusanyia umaarufu mkubwa katika uwezo mkubwa wa utangazaji Afrika kifo chake kimewagusa watu wengi maarufu akiwemo Rais wa nchi ya ghana Mh John Dramani Mahama ambae kasema Tumepoteza Balozi muhimh katika tasnia ya utangazaji.Katibu mkuuu wa zamani wa umoja wa mataifa Bwana Kofie Anani pia ni mioongon mwa watu waliotoa salamu za rambirambi akiwemo na mtoto wa kike wa Hayati nelson Mandela Makaziwe Mandela pia ni mmoja kati wa wafu waliotoa RambiRambi kwa Nguri uyo wa Habari aliyefariki gafla kwa mshtuko wa moyo kwake London.


No comments:
Post a Comment