Ikiwa zimepita siku kadhaa baada ya Basi la mtei kuchomwa moto maeneo ya njia panda singida leo majira ya asubuhi gari ya abiria aina ya Noah imepata ajari mbaya baada ya kuwa katika spidi iliyosababisha dereva kushindwa kumiliki mwendo kasi wa gari ilo na kujikuta likibinuka na kusababisha mahafa ayo yaliyopoteza maisha ya zaid ya watu 12 waliokuwemo ndani ya gari ilo akiwemo dereva na msaidizi wake.
 

 
  
  

No comments:
Post a Comment