Nguri katika tasnia ya filamu nchini Marekani ambaye pia ni mume wa muigizaji wa filamu wa kike Angelina Jolien Brad pitt ivyk karibun ametoa kitukoo baada ya kulazimika kunyoa mtindo wa Panki ili aendane na uhusika wa filamu yake mpya anayoiandaa.Brad Pitt akilieleza jarida la E°news alieleza kwamba hajapenda kunyoa ivyo lakin Filamu ndo inamlazimu kunyoa ivyo..
Swali ni je umependa alivyonyoa?
 

 
  
  

No comments:
Post a Comment