Habari Mpya :
Home » , , » MUIGIZAJI KATIKA TAMTHILIA YA ISIDINGO LESEGO MOTSEPE AFARIKI DUNIA APO JANA

MUIGIZAJI KATIKA TAMTHILIA YA ISIDINGO LESEGO MOTSEPE AFARIKI DUNIA APO JANA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, January 21, 2014 | 12:28 PM

Toka Johanesburg muigizaji aliyejipatia umaarufu katika tamthilia ya Isidingo Lesego Motsepe afariki dunia apo jana nyumbani kwake.Lesego ambae aliigiza jina la Lettie matabane katika tamthilia iyo ya isidingo mwili wake ulikutwa na kaka yake moemise motsepe nyumbani kwake majira ya saa tato na ilipofika majira ya saa saba familia ilitangaza kifo chake jana.Lesego atakumbukwa daima kwa mchango wake mkubwa katika tamthilia iyo ya isidingo kama lettie Matabane na pia kwa ushujaa wake wa kujitangaza kuwa ameathirika siku ya ukimwi dunian mwaka 2011 na kuwa balozi wa maswala ya ukimwi nchini africa ya kusini.Lesego katika isidingo the neee ameonekana katika mtililiko mzima tangu mwaka 1998 mpaka 2008.Familia yake imeeleza kwamba marehemu aliishi na virusi vya ukimwi tangu mwaka 1998.Lesego mmoja kati ya majukumu yake ilikiwa ni kuwaelimisha watu wanaoishi na virusi vya ukimwk kutokata tamaa na kuishi na matumain..

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania